MAKAMU wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Jean-Pierre Bemba, anatarajiwa kuhukumiwa na Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC leo Jumatano baada ya kubainika na hatia ya kutoa hongo kwa mashahidi na kutoa ushahidi wa uongo.