Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba, akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa
majukumu ya wizara yake kwa Bajeti ya mwaka wa fedha wa uliopita katika
Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama
wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko
katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao
vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa
kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika
leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani
Dodoma.
SHARE
No comments:
Post a Comment