Mkurugenzi wa Harmashauri ya wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga kulia akipokea moja ya matairi 12 ya magari madogo kutoka kwa Salim Aljabiry Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bin Slum .Kampuni hiyo imetoa msaada huo kwa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu ili kuunga mkono juhudi za Rais Dk. John Pombe Magufuli. |
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga kulia akimkabidhi
cheti cha kutambua mchango wa kampuni ya Bin Slum kwa mchango wake
katika maendeleo ya wilaya ya Mbulu baada ya kampuni hiyo kupitia kwa
meneja Mauzo wake Bw. Salum Aljabiry kumkabidhi moja ya matairi 12 ya
magari madogo kutoka kwa Kampuni ya hiyo jijini Dar es salaam .Kampuni
ya Bin Slum imetoa msaada huo kwa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu ili
kuunga mkono juhudi za Rais Dk. John Pombe Magufuli.
Mkurugenzi
wa Harmashauri ya wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga kulia akipokea
moja ya matairi 12 ya magari madogo kutoka kwa Salim Aljabiry Meneja
Mauzo wa Kampuni ya Bin Slum .Kampuni hiyo imetoa msaada huo kwa
Halmashauri ya wilaya ya Mbulu ili kuunga mkono juhudi za Rais Dk. John
Pombe Magufuli.
Baadhi ya matairi yanayouzwa na kampuni ya Bin Slum Chang'ombe jijini Dar es salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment