Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na Waziri wa
Afya kutoka nchini Kenya Dkt. Cleopa Mailu Ikulu jijini Dar es Salaam
leo Machi 18, 2017.Serikali imetangaza ajira ya madaktari 500 ambao
hawako kwenye ajira ya utumishi wa Umma ili waende Kenya kufanya kazi,
baada ya serikali ya nchi hiyo kuiomba Tanzania iokoe jahazi kufuatia
mgomo wa muda mrefu wa madaktari nchini Kenya. (PICHA NA IKULU)
SHARE
No comments:
Post a Comment