Mkurugenzi
wa Jiji la Arusha Mh: Athuman Kihamia ,ametembelea kata ya Muriet na
kujionea maendeleo ya kata hiyo hususani kwenye swala la ujenzi wa Kituo
cha Afya cha Muriet,Ofisi ya Kata ya Muriet sambamba na Kituo cha
Polisi cha Muriet .
Kutoka
kushoto ni Afisa Mtendaji Kata wa Muriet akiwa ameongozana na
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha wakikakua ujenzi wa Kituo cha Polisi.picha
na Imma msumba
Mkurugenzi
wa Jiji la Arusha Mh: Athuman Kihamia Akiwa ameongozana na Wakuu wa
Idara mbali mbali kutoka Ofisi ya Jiji wakikagua ujenzi wa Kituo cha
Afya cha Muriet Ulipofikia kwa sasa.picha na Imma msumba
Muonekano wa juu wa Kituo hicho cha Afya kinavyoonekana ambapo ujenzi unaendelea kwa sasa.picha na Imma msumba
Wakuu
wa Idara mbalimbali wa Jiji la Arusha wakiwa wameongozana na Mkurugenzi
wa Jiji la Arusha walipotembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa Ofisi
ya Kata ya Muriet.picha na Imma msumba
Muonekano wa nje wa Kituo cha Polisi cha Muriet kinachoendelea kujengwa ulipofikia kwa sasa.picha na Imma msumba
SHARE
No comments:
Post a Comment