Mkuu
wa Wilaya ya Kiteto, Tumaini Magesa, akizungumza na viongozi wa Vyama
vya Ushirika wa Mazao (AMCOS), wakati wa uhamasishaji wakulima wilayani
humo. Mpango huo umeanzishwa na NSSF kwa ushirikiano wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) na Benki ya Azania.
Meneja
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Dodoma, Rehema
Chuma, akizungumza na viongozi wa Vyama vya Ushirika wa Mazao (AMCOS),
wakati uhamasishaji wa wakulima wilayani humo. Mpango huo umeanzishwa na
NSSF kwa ushirikiano wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) na
Benki ya Azania.
Meneja
wa NSSF Mkoa wa Manyara, Alexander Josephat, akizungumza na viongozi wa
Vyama vya Ushirika wa Mazao (AMCOS), wakati wa uhamasishaji wa wakulima
wilaya ya Kiteto. Mpango huo umeanzishwa na NSSF kwa ushirikiano wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) na Benki ya Azania.
SHARE
No comments:
Post a Comment