Mkuu
wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego ataja sababu zilizopelekea mkaoa huo
kushuka kwa elimu mwaka 2016-17, katika matokeo ya kidato cha pili
.ambapo shule 10 zilizofanya vibaya shule 9 zimetoka mkoani humo na
matokeo ya darasa la saba ambapo mkoa huo ulikuwa wa pili kutoka
mwisho.Hii hapa video yake.
SHARE
No comments:
Post a Comment