Mratibu wa Mafunzo kutoka Jumuiya ya
Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Bi. Eliet Magogo
akiwasilisha mada katika warsha ya kuhamasisha raia kujiunga katika
jeshi la ulinzi wa amani la jumuiya hiyo iliyofanyika leo katika Hotel
ya Serena Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Watumishi kutoka katika
Wizara, Idara na Taasisi za Serikali. Katikati ni Mkuu wa Kitengo
kinachoshughulikia raia katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika,
Bw. Ernest Kantchentche na kushoto ni Bi. Caroline Chipeta, Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kikanda katika Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
SHARE
No comments:
Post a Comment