*Amtaka Waziri wa Maji avunje mkataba ifikapo Mei 31
*Ni mkandarasi aliyenyang’anywa pasipoti na Rais Magufuli
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema
Serikali haitavumilia wakandarasi wasio na uwezo na ambao wanapewa kazi
lakini wanashindwa kuzimaliza katika muda uliopangwa.
SHARE
No comments:
Post a Comment