Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akikata utepe kama ishara ya
kupokea mradi wa maji Mtiririko katika kijiji cha Iharara uliojengwa na
Kampuni ya Singita Grumeti Fund kwa ushirikiano na Shule ya Sekondari ya
Issenye na wananchi,kulia kwake ni Mkurugenzi wa Singita Grumeti Fund
Stephen Cuniliffe.
Picha ya pamoja baada yauzinduzi,kutoka kushoto ni afisa maendeleo ya
jamii kampuni ya Singita Grumeti Fund Frida Molel,Mwenyekiti wa serikali
ya kijiji cha Iharara Goroban Mahega,Dc Nurdin Babu ,afisa mtendaji wa
kijiji John Wangembe,afisa mtendaji wa kata ya Nagusi Molel na
Mkurugenzi wa Singita Grumeti Fund Stephen
Picha ya pamoja na wanafunzi wa Issenye sekondari katika eneo la
matenki yanayopokea maji kutoka kwenye tenki kubwa kwa ajili ya matumizi
ya shule.
Mkuu wa wilaya akifungulia bomba kuhakikisha maji yanayotoka kwenye
chanzo cha maji mtiririko kwa kutumia umeme wa mionzi ya jua.
Ofisa maendeleo ya jamii kampuni ya Singita Grumeti Fund Frida Mollel akitoa taarifa ya mradi.
Pandeni miti kote huko Dk akitoa maelekezo
Makamu Mkuu wa shule ya Issenye Ezekiel Onderi akitoa maelezo jinsi
mradi utakavyowapunguzia wanafunzi na walimu umbali wa kutafuta maji.
Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Iharara Goroban Mahega akishukuru
kwa kupata mradi wa maji safi na salama kwenye kijiji chake na taasisi
ya shule.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Serengeti William
Makunja akihimiza wananchi kushikamana na wawekezaji ili waweze kutatua
changamoto zinazowakabili.
DC anasaini makabidhiano ya mradi
huo wa Maji kulia ni Mkuu wa idara ya Maendeleo ya Jamii Singita
Grumeti Fund Frida Mollel
Makabidhiano yamekamilika wanapongezana.
Lango la kuingia katika chanzo kikuu cha maji eneo la mashambani linafunguliwa rasmi
Tunzeni miundo mbinu atakayehujumu atashughulikiwa kwa mjibu wa sheria.
No comments:
Post a Comment