Msanii
mkongwe wa Muziki wa Bongo fleva Mwana Hip Hop Afande Sele TheKing
ametoa ya moyoni baada ya Kuibuka Tetesi za Uvamizi wa Clouds
Media.Kupitia Ukurasa wake wa Facebook Msanii huyo ambaye ndie mfalme wa
kwanza wa Miondoko ya Kufokafoka nchini ameandika ya fuatayo:-“Kama
ni kweli Bashite ameongoza watu kufanya uvamizi kwenye kituo cha clouds
media kwa jinsi inavyojieleza…Basi atakua mfano wa tumbili aliyemaliza
kurukia miti yote sasa ameamua kurukia mwili wa
anaemfuga…Na’Anko’akiendelea kushupaza shingo ktk hili huenda yale
maandiko yakatimia kabla ya muda tarajiwa…muwe na Jpili Kareem akina
ndugu…..” – Afande sele aliandika kupitia akaunti yake ya Facebook.
Hii hapa Original Post.
SHARE
No comments:
Post a Comment