Kumekuwa na matukio mbalimbali yakihusisha
upatikanaji wa pesa bandia, hii imekuwa ngumu hata kwa baadhi ya watu
kuweza kutofautisha pesa bandia na halali.
Leo
tunaye Afisa mwandamizi mkuu wa Benki kuu ya Tanzania Patrick Fata
ambaye ametusogezea njia kuu tatu za kukuwezesha kutambua noti bandia
endapo utakutana nazo ikiwa ni pamoja na
kuona,kupapasa na njia ya tatu ni kutumia taa maalumu za rangi.
kuona,kupapasa na njia ya tatu ni kutumia taa maalumu za rangi.
SHARE
No comments:
Post a Comment