SERIKALI ya Yemen imesema watu 11 waliuawa katika shambulio la kujitoa muhanga kwenye uwanja mmoja Kusini mwa nchi hiyo.
Baadhi ya watu waliokuwa wamevalia mavazi ya kijeshi walitoka kwenye gari hilo na kuanza kushambulia raia na kisha bomu kwenye gari hilo lililipuka.
Shambulizi hili linatajwa kufanywa na kundi la Islamic State ambalo mpaka sasa hawajatoa tamko lolote.
SHARE
No comments:
Post a Comment