Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akieleza
umuhimu wa mfumo mpya wa Kielektroniki wa Kufuatilia Utekelezaji wa
Ahadi, Ilani ya Chama Tawala na Maagizo ya Viongozi Wakuu wakati wa
uzinduzi wa mfumo huo Machi 28, 2017 katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri
Mkuu Bungeni Dodoma na kulia kwake waliokaa ni Naibu Waziri Ofisi ya
Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde.
SHARE
No comments:
Post a Comment