Saimon Msuva akiwania mpira na beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya.
Beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya (kushoto), akimtoka, Hassan Ramadhani.
Beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya akimiliki huku akizongwa na mshmabuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa.
Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi akipata huduma ya kwanza baada ya kuumia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho.
Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 5
Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 5.
Mshambuliaji
wa Yanga, Saimon Msuva, akimtoka mlinda mlango wa timu ya Kiluvya
United, Philimon Ramadhani katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (Azam
Federation Cup), uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam.
Nyota wa
mchezo, Obrey Chirwa akipokea mpira kutoka kwa mwamuzi, Hery Sasii wa
Dar es Salaam, baada ya kuifungia timu yake 'hat trick'.
Beki wa Yanga, Hassan Kessy akitoka uwanjani baada ya kumalizika kwa mchezo.
Kocha
Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi (kulia), akibadilishana mawazo na
Kocha Mkuu wa timu hiyo, George Lwandamina baada ya kumalizika kwa
mchezo wa Kombe la Shirikisho (Azam Federation), uliofanyika kwenye
Uwanja wa Uhuru ambapo Yanga iliifunga Kiluvya United 6-1. (Picha na
Francis Dande).
SHARE
No comments:
Post a Comment