Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Rais wa Indonesia Joko Widodo, ambae ni Mwenyekiti wa
Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi
zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) kabla ya
kuanza kwa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Balai Sindang
Mjini Jakarta Indonesia,Rais Dk.Shein anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli.
Rais wa
Indonesia Joko Widodo, ambae ni Mwenyekiti wa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu
wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi
(INDIAN ASSOCIATION-IORA) akisalimiana na Rais wa Msumbiji Philipe Nyusi
wakati wa mkutano IORA uliofanyika leo katika ukumbi wa Balai Sindang
Mjini Jakarta Indonesia ambao ulihudhuriwa na Viongozi wakuu wa Nchi
mbalimbali.
Viongozi
Wakuu wa Nchi mbali mbali wakiwa nkatika Picha ya pamoja wakati wa
Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi
zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA) uliofanyika
leo katika ukumbi wa Balai Sindang Mjini Jakarta Indonesia,ambapo Rais
Dk.Shein (wa tatu kulia)anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk.John Pombe Magufuli katika mkutano huo (Picha na Ikulu).
SHARE
No comments:
Post a Comment