Muumini wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Moses Kombe
(katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuambwa msalabani
kwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita katika ibada ya Ijumaa Kuu
iliyofanyika katika kanisa hilo jijini Dar es Salaam juzi jioni.
SHARE
No comments:
Post a Comment