
Bahame Tom Nyanduga -
Mwenyekiti
Mwenyekiti
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
(THBUB) imepokea kwa masikitiko taarifa ya kuuwawa kwa askari wanane
(8) wa Jeshi la Polisi, katika tukio lililotekelezwa na watu
wasiofahamika jioni ya Aprili 13, 2017 katika kijiji cha Jaribu Mpakani,
Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani.
SHARE
No comments:
Post a Comment