Katibu Mkuu wa Soko la Buguruni,Furahisha Kambi akizungumza na Globu ya jamii kuhusu kuanza kwa ukarabati
wa miudombinu ya soko hilo la Buguruni na kuipongeza Manispaa
ya Ilala,kwa kuchukua hatua hiyo kwa ajili ya kuwajali wafanyabishara
wake ambao pia ni sehemu ya walipa kodi wakubwa katika wilaya hiyo
Katibu Mkuu wa Soko la Buguruni,Furahisha Kambi akionesha baadhi ya nguzo zilizo wekwa kwa ajili ya ukarabati wa soko hilo,jana jijini Dar es Saalaam.
Mafundi wakiendelea nakazi katika soko la Buguruni jijini Dar es Saalaam.
Muonekano wa soko jinsi litakavyo kuwa badaa ya ukarabati huo.picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii
SHARE









No comments:
Post a Comment