Mashabiki sita wa Leicester City ya England, kila mmoja amefungwa jela miezi minne nchini Hispania.
Mashabiki hao wamepatikana na hatia ya kupigana na
polisi katika mii wa Madrid, saw kadhaa kabla ya timu yao kuivaa
Atletico Madrid katika mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mashabiki wa Uingereza wamekuwa na rekodi ya ufanyaji
vurugu wanapokwenda kuzishangilia timu zao katika nchi mbalimbali barani
Ulaya.
SHARE
No comments:
Post a Comment