
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa
watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimpima
Mama Mjamzito moyo wa mtoto aliyepo tumboni ili kuangalia kama una
magonjwa au la. Mwishoni kwa mwaka jana Taasisi hiyo iliwapima
wajawazito 25 kati ya hao watano watoto wao walikutwa na matatizo ya
Moyo.Picha na Anna Nkinda – JKCI.
SHARE








No comments:
Post a Comment