TRA

TRA

Friday, April 21, 2017

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BMT, BODI YA LIGI NA TFF MJINI DODOMA.

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpura wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.


Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (Kushoto) akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.


Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.


Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Nchini Yusuph  Omary akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya michezo hasa mpira wa miguu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa kikao kati ya Waziri na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.


katibu  Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)  Selestine Mwesigwa akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa kikao kati ya Waziri na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.


Mwanasheria wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Emmanuel Muga Agustino akifafanua masuala ya kwa kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa kikao kati ya Waziri na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.


Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura(kushoto) akieleza masuala mbalimbali yahusuyo Ligi Kuu Tanzania Bara kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa kikao kati ya Waziri na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi Dodoma

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger