Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala
Bora) akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora)
kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
|
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu
wa Rais TAMISEMI Mhe. Luaga Mpina akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18,
2017.
|
Mbunge wa Nanyamba (CCM) Mhe. Abdallah Dadi Chikota akiuliza swali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017 |
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
|
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe.Dkt. Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
|
Mbunge wa Mlalo(CCM) Mhe. Rashid
Shangazi akiuliza swali katika kikao cha
saba cha Mkutano wa nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
|
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18,
2017.
|
Mbunge wa Kinondoni (CUF) Mhe. Maulid Said Mtulia akiuliza
swali katika kikao cha saba cha Mkutano
wa nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
|
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi
Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
|
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe
Gerson Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.
Mwigulu Nchemba akitoa taarifa kwa Bunge kuhusu mauaji ya askari wanane
yaliyotokea siku ya Alhamisi wiki iliyopita Kibiti Mkoani Pwani.
|
Watendaji kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Utumishi na Utawala Bora wakifuatilia kikao
cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
|
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017. |
SHARE
No comments:
Post a Comment