Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwasili katika ukumbi wa Bunge
kuongoza kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha saba cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt Philip Mpango akiwasilisha Ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu Taarifa za Fedha za Serikali kuu ,
Fedha za Miradi ya Maendeleo, Fedha za Mashirika ya Umma na majibu ya
hoja na mpango wa kutekeleza mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma kwa mwaka wa Fedha 2015/2016.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akiwasilisha Randama za Makadirio ya
Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI,UTUMISHI NA UTAWALA BORA)
kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akijibu hoja mbalimbali za wabunge
katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017.

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii
Jinsia Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi
wa Ufanisi juu ya Usimamizi wa Mikataba iliyoingiwa kati ya Serikali na
Hospitali za Binafsi Nchini katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.

Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwelwe akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa
Ufanisi katika Usimamizi wa uchukuaji wa Maji kutoka Vyanzo vya Maji
katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017.

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na
Ufundi Mhe. Stella Manyanya akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi
juu ya Uzalishaji wa Wahitimu katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia
katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.

Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi
na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge
katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Mhe. Dkt Medrid Kalemani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 13, 2017.

Mbunge wa Bunda Mjini (CHADEMA)
Ester Bulaya akiuliza swali katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.

Waziri wa Nishati na Madini Mhe.
Sospeter Muhongo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha
saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13,
2017.

Mbunge wa Mafia (CCM) Mhe.
Mbaraka Kitwana Dau akiuliza swali katika kikao cha saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii
Jinsia Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijadiliana jambo na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angelah Kairuki
katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017.

Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe. Mhe. Isack Kamwelwe akijadiliana jambo na Mbunge wa
Mtama Mhe. Nape Moses Nnauye katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Mhe. Jenista Mhagama akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.

Ujumbe kutoka Ofisi ya Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wakiongozwa na Mkaguzi Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad wakifuatilia
kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 13, 2017.

Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akitoka katika ukumbi wa Bunge
mara baada ya kuhairisha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 13, 2017 kwa mapumziko ya Sikukuu ya Pasaka.

Baadhi ya wabunge wakitoka katika
Ukumbi wa Bunge mara baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai kuhairisha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Aprili 13, 2017 kwa mapumziko ya Sikukuu ya Pasaka.
Picha Zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma.
SHARE
No comments:
Post a Comment