Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali(CAG) Prof Musa Assad na Mwenyeketi Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu
za Serikali (PAC) Mhe.Naghenjwa Kaboyoka
wakiangalia moja ya kitabu cha Ripoti kutoka Ofisi yake wakati
alipokutana na na waandishi wa Habari(hawapo
Pichani) kuhusu Ripoti ya Ofisi yake kwa mwaka wa Fedha unaoisha 2015/2016 Leo
Aprili 13,2017 Mjini Dodoma.Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali(CAG) Prof Musa Assad akizungumza na waandishi wa Habari(hawapo
Pichani) kuhusu Ripoti ya Ofisi yake kwa mwaka wa Fedha unaoisha 2015/2016 Leo
Aprili 13,2017 Mjini Dodoma.
SHARE
No comments:
Post a Comment