Kocha wa Crystal
Palace, Sam Allardyce, amebwaga majanyanga ya kuendelea kuinoa timu
hiyo akiwa kadumu kwa miezi mitano tu kwenye klabu hiyo.
Baada ya kuachana na klabu hiyo iliyomaliza ligi katika nafasi ya 14, kocha huyo amesema hana mpango wa kuchukua kazi nyingine katika mchezo wa soka.
"Ninataka kusafiri kutumia muda wangu na familia yangu na wajukuu bila ya msukumo unaotoka na mchezo wa soka," alisema kocha huyo
Sam Allardyce maarufu kama Big Sam
CHANZO: BBC
SHARE









No comments:
Post a Comment