Jumanne Mei 9,2017 basi la Ally’s kutoka Mwanza
kwenda Kaliua Tabora limegongana uso kwa uso na basi la Isanzu
lililokuwa likitoka Kahama kwenda Mwanza.
Ajali hiyo imetokea leo majira ya saa mbili asubuhi katika eneo la
Samuye barabara ya Shinyanga kwenda Mwanza ambapo inaelezwa kuwa dereva
wa basi la Izanzu hai yake ni mbaya.
Hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini watu kadhaa wamejeruhiwa na wamekimbizwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga
SHARE
No comments:
Post a Comment