TRA

TRA

Tuesday, May 30, 2017

BULEMBO AONGOZA MAZISHI YA MDOGO WA SPIKA WA ZAMANI MAREHEMU SAMWELI SITTA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaji Abdallah Bulembo na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri, wakiwa na nyuso za majonzi wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo


Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa salam za rambirambi wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akitoa salam za rambirambi wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akimkabidhi rambirambi ya CCM, mjane wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania Samwel Sitta, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika huyo wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akimpa pole, Ben Sitta, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Hassan Wakasubi akimpa pole Mjane wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania, Samwel Sitta, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika huyo wa zamani wa Bunge la Tanzania Marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Hassan Wakasubi akimpa pole Hajjat Kagori ambaye ni Mama wa Marehemu, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo
Mjane wa Spika wa zamani wa Bungela Tanzania, Samwel Sitta, Margareth Sitta, akimfariji Hajjat Kagori ambaye ni Mama wa Marehemu, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo
Edward Sitta ambaye ni mdogo wa marehemu, akisoma wasifu wa marehemu, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo


Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania Marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo
Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo


Margareth Sitta ambaye ni mjane wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania, akiwa na baadhi ya wanafamilia, Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo. Kulia ni Benjamin Sitta.
Naibu Meya wa zamani wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, Songoro Mnyonge, akitoa salam za rambi rambi, wakiwa msib wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhajj Abdallah Bulembo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Hassan Wakasubi akizunguma jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wzazi Alhajj Abdallah Bulembo, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehemu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo. Katikati ni Mbunge wa zamani wa Tabora Aden Rage.

Jeneza lenye mwwili Peter John Sita, Mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania Marehemu Samwel Sitta, ukiwa katika eneo la kuagwa



Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tazania, Alhajj Abdallah Bulembo akitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo



Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Hassan Wakasubi akitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo



Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo



Katibu wa Siasa na Oganaizesheni Makao Makuu ya Jumuiaya Umoja wa Wazazi Tanzania Ndugu Mgaya akitoa heshima za mwsho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo


Baadhi ya wanafamilia wakitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo



Hajjat Kagori ambaye ni mama wa Marehemu, akitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo


Margareth Sitta ambaye ni mjane wa Spika wa zamani wa Bunge, Samwel Sitta, akitoa heshima za mwisho, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika huyo wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo
Mmoja wa wanafamilia akiagua kilio, wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, nyumbani kwa marehemu, Urambo mkoani Tabora leo


Kaburi likiwa tayari kwa ajili ya mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akiwa na badhi ya wanafamilia kwenye mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo
Jeneza likishushwa kutoka kwenye gari malum, wakati mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo
Jeneza likipekwa kwenye kaburi, wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo



Jeneza likiwekwa kwenye kaburi wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo



Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdalla Bulembo (mwenye shati la kijani), akishiriki kuweka sawa jeneza, wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo



Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdalla Bulembo (mwenye shati la kijani), akishiriki kuweka sawa jeneza, wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo



Jeneza lenye mwili likiombewa kabla ya kutumbizwa kaburini, wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo











Jeneza likitumbukiwa kaburini hatua kwa hatua, wakati wa mazishi ya mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora leo



Waombolezaji wakiwa kwenye mazishi hayo



Waombolezaji wakiongoka makaburi baada ya kumzika mdogo wa Spika wa zamani wa Bunge la Tanzania marehmu Samweli Sitta, Peter John Sitta, Urambo mkoani Tabora jana. PICHA: BASHIR NKOROMO

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger