Bunge
la Kenya linafanya kikao maalum leo kujadili kupunguza gharama za maisha, baada ya kuonekana kuwa bei
ya unga, sukari na maziwa nchini humo inaendelea kupanda.
Wabunge
wa Bunge la Kenya wakiwa ndani ya bunge kwa ajili ya kuanza kikao maalum cha
kujadili kupanda kwa gharama za vyakula na kusababisha kukithiri kwa ugumu wa
maisha.
SHARE
No comments:
Post a Comment