Akizungumza kwenye kipindi hiko Diamond amesema hana namba ya Ivan lakini alishawahi kuonana naye miaka miwili iliyopita na kuhusu Zari kwenda Hospitali ni sahihi kwa sababu afya yake haikuwa nzuri na kudai kuwa amekuwa akimpigia simu ili kujua hali yake.
>>>“Sijawahi kuwa na namba ya Ivan. Nilikutana naye nilivyoenda MTV last two years. Ivan alikuwa anaumwa halafu hali yake ilikuwa serious sana kwa hiyo huwezi kushadadia kwenye mitandao. Zari ni mzazi mwenzake na ana kila haki kuhakikisha anaenda. Mimi nimekuwa mtu wa kwanza kumpigia simu kumuuliza anaendeleaje.” – Diamond
Niliunda Kamati kuchunguza kuvamiwa kituo cha utangazaji sio kumchunguza
RC, alikuwa mmoja wa wavamizi, hayuko juu ya sheria - @Nnauye_Nape
About Richard Mwaikenda
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
SHARE
No comments:
Post a Comment