Meneja
wa Jumia nchini Tanzania, Hilda Kinyunyu (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia namna ambavyo wateja
watakaonunua simu kupitia mtandao wa Jumia katika ‘Jumia mobile week’
watakavyonufaika na zawadi kedekede pamoja na punguzo la bei kuanzia Mei
22-28, 2017. Kulia ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tecno Tanzania,
Erick Mkomoye.Meneja

Erick Mkomoye.JUMIA Mobile Week kuanza Mei 22 -28 ni maalumu
kwaajili ya mauzo ya simu na vifaa vyake kutoka kwa makampuni makubwa
Tanzania yanayoshirikiana na JUMIA. Kutakua na punguzo kubwa pamoja na
zawadi mbalimbali kwa wateja watakaonunua bidhaa hizo katika website ya
JUMIA. Jumia Tanzania inashirikiana na washirika wakubwa kama Tigo na Tecno
kwa mfano ili kukuletea huduma mbalimbali katika upungufu wa bei ambao
watanzania wa kipato mbalimbali wanaweza kuagiza na kupata bidhaa hizo,
lakini pia bidhaa za simu kutoka makampuni mbalimbali kama SAMSUNG, LG,
HUAWEI pia vifaa vya simu kma headset za kusikilizia mziki zinapatikana. Jumia mobile wiki inaanza tarehe Mei 22-28 mwezi wa tano, wateja
wanaweza kuagiza simu kupitia mtandao wa jumia kwa kulogin na kuchagua
bidhaa wanazotaka kisha wanajaza taarifa zao za msingi kama namba za
simu na eneo wanalotaka bidhaa waletewe kisha watafikishiwa, malipo
yatafanyika baada ya mteja kupata bidhaa husika na kuridhika nayo. Kampuni ya simu ya Tecno Mobile itakua na duka maalumu katika mtandao
wa Jumia ambapo simu za kampuni hiyo ikiwemo simu mpya maarufu ya Tecno
Camon Cx itapatikna, pia Tecno Phantom 6, w5 na l9 plus. Mteja atakae
oda simu za Tecno Mobile katika mtandao wa Jumia atapata zawadi
mbalimbali zitakazomfikia pamoja na simu hiyo. Jumia ni duka namba 1 kubwa la mtandaoni nchini Tanzania, ambapo
unaweza kununua na kuuza bidhaa mbalimbali . Jumia ina bei nafuu zaidi
kwa masoko ya mitandaoni kulikoa mtandao wowote nchini Tanzania, bidhaa
mbalimbali zinapatikana kuanzia fashion, vifaa vya umeme, viatu, saa,
michezo ya kubahatisha consoles, simu za mkononi na vidonge, Laptops na
kompyuta, vipodozi na hata samani, kitu chochote unataka uwe na uhakika
wa kupata mtandaoni unachotakiwa kufanya ni kuingia katika mtandao wa
JUMIA.CO.TZ. Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Tecno Tanzania, Erick Mkomoye (kulia)
akizungumzia zawadi mbalimbali mbele ya wanahabari (hawapo pichani)
zitakazotolewa na kampuni hiyo kwa wateja watakaonunua simu za kampuni
hiyo katika ‘Jumia mobile week’ inayotarajia kuanza Mei 22-28, 2017.
Kulia ni Meneja wa Jumia nchini Tanzania, Hilda Kinyunyu.Kutoka
kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tecno Tanzania, Erick Mkomoye
na Meneja wa Jumia nchini Tanzania, Hilda Kinyunyu wakionesha miongoni
mwa simu kutoka kampuni ya TECNO ‘Tecno Camon Cx’ ambazo zitakuwa na
punguzo la bei katika ‘Jumia mobile week’.Baadhi ya wanahabari wakiwa katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment