TRA

TRA

Thursday, May 11, 2017

LAPF YADHIHIRISHA KUWA CHAGUO BORA KWA WAAJIRIWA WAPYA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


unnamed
Meneja Masoko na Mawasiliano Mfuko wa Pensheni wa LAPF James Mlowe akizungumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Makao makuu ya Mfuko huo mjini Dodoma jana. Kushoto ni meneja Matekelezowa LAPF Victor Kikoti.
A 1
Baadhi ya Waandishi wa Habari Mjini Dodoma walioshiriki katika mkutano wa LAPF Dodoma jana. LAPF imedhihirisha kuwa Chaguo Bora kwaWaajiriwa wapya.
…………………………….
Mfuko wa Pensheniwa LAPF umekuwa ni chaguo la wanachama hasa waajiriwa wapya kutokana na ubora wa huduma zinazotolewa pamoja na kutekeleza ahadi zake kwa wanachama. HivikaribuniSerikaliilitoaajirazawalimuwasayansi 3,084. Katikawalimuhaowalioripotikatikavituovyaovyakaziwalikuwawalimu 2,792 nakatikahaowalioripoti LAPF iliibukakidedeabaadayawalimu 1,888 kuchaguakujiungana LAPF sawanaasilimia 68 yawalimuwotewalioripoti.
HiiinadhihirishawazikuwaMfukowa LAPF ndioMfuko bora waPenshenihapa Tanzania. LAPF imekuwanaongezekokubwasana la wanachamakutokasektabinafsinaserikalinikutokananahudumazinazotolewaambazozimekuwakivutiokikubwakwawanachama wake nahaswawaajiriwawapya. Hadi kufikia Aprili 2017, Mfukowa LAPF unawanachamazaidiya 172,000 ambapondaniyamwakawafedha 2016/2017 pekee LAPF imeandikishawanachamawakisheria 16,839 nawaHiarikupitia LAPF Jiongeze Scheme 645.
BaadhiyahudumazinazotolewanaMfukowaPensheniwa LAPF nipamojanaMikopoyakujikimukwawaajiriwawapyailiwawezekujikimunamahitajimuhimumarawanapoanzaajiraambapohadisasawanachama 518 wamenufaikanamkopohuumaarufukamaMaishaPopotena LAPF.
Kadhalikapia LAPF inatoamikopoyaelimukwawanachama wake kwaajiliyakujiendelezakielimu.  Hadisasa LAPF imewezakutoamikopohiikwawanachama 1438 yenyethamaniyashilingi 2.4 bilioni.
LAPF piainatoamafaoyauzazikwawanachama wake ambapowanachamawanawakewanapojifunguahulipwaasilimia 129.3% yamshaharawaokamamafaoyauzazi. Hadisasatangukuanzishwakwafaohiliwanachama 11,744 wamelipwamafaouzaziyenyethamaniyashilingibilioni 9.54.
LAPF ndioMfukopekeehapanchiniambaounaowalipawanachama wake mapemanahatasikuchachekablayakustaafu. Tangukuanzakwautaratibuhuuwanachama 1691 wamelipwamapemakablayatareheyakustaafu.
Takwimuhizizinadhihirishawaziutekelezajiwaahadikwawanachamawa LAPF. ISHI NA KUSTAAFU KWA UFAHARI NA LAPF

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger