Mke wa Rais
Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini
Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, wakielekea kwenye ofisi yake
anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee
walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam
siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa
katika ziara ya kikazi nchini.
Mke wa Rais
Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini
Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, kwenye ofisi yake anayoendeshea
shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale
walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi.
Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya
kikazi nchini.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
(kulia) akiwa na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama
Sizakele Zuma, wakipata picha ya kumbukumbu na wasaidizi wao kwenye
ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na
kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma
jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na
mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Mke wa Rais
Mama Janeth Magufuli (kulia) akimsindikiza Mke wa Rais wa Afrika ya
Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, aliyemtembelea kwenye ofisi
yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia
wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es
salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe
aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Kikundi cha
matarumbeta cha Usambara kikiwakaribisha Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli (kulia) na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma,
Mama Sizakele, Zuma alipomkaribisha mgeni wake huyo kwenye ofisi yake
anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee
walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam
siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa
katika ziara ya kikazi nchini.
PICHA NA IKULU
SHARE
No comments:
Post a Comment