Maalim Seif Sharif Hamad
Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad Leo Jumatano Tarehe 10/5/2017 majira ya saa 10 jioni atamtembelea Baba Askofu Josephat Gwajima ofisini kwake Kanisani, Ubungo. Kumjulia hali, kumfariji na kuzungumza nae masuala mbalimbali yanayoendelea nchini. Maalim Seif amekuwepo Dar es Salaam kikazi kwa siku kadhaa sasa ambapo pia amevitembelea vyombo mbalimbali vya habari.
Haki sawa kwa wote.
Maharagande
NMHUMU.
NMHUMU.
SHARE
No comments:
Post a Comment