Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na
Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa katika ukumbi wa Hazina
mjini Dodoma leo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na
Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa katika ukumbi wa Hazina
mjini Dodoma leo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa
Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za
Mitaa baada ya kufungua mafunzo hayo katika ukumbi wa Hazina mjini
Dodoma Mei 9, 2017. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais,
Selemani Jafo na kushoto kwake ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi,
Profesa Joseph Semboja. Aliyekaa kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma
Mjini, Christina Mndeme
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi,
Profesa Joseph Semboja baada ya kufungua Mafunzo kwa Wakuu wa Wilaya na
Wakurugenzi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa katika ukumbi wa
Hazina mjini Dodoma Mei 9, 2017. Kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini,
Christina Mndeme baada ya kufungua Mafunzo ya Wakuu wa Wilaya na
Wakurugenzi wa Halmashauri za Seriklali za Mitaa katika ukumbi wa Hazina
mjini Dodoma Mei 9, 2017. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, TAMISEMI, Selemani Jafo na kulia ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi
ya Uongozi, Profesa Joseph Semboja. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment