Wachezaji wa timu ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
PLC, wakishangilia ushindi wao baada ya kuiadhibu timu ya wafanyakazi wa
Huawei mabao 7-1 wakati wa mchezo wa kirafiki ulifanyika mwishoni mwa wiki
kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha timu ya wafanyakazi wa Vodacom
Tanzania PLC, wakiongozwa na mkurugenzi Mtendaji, Ian Ferrao(katikati)
aliyeshika mpira wakipozi kwenye picha kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki
dhidi ya kampuni ya Huawei uliofanyika kwenye viwanjwa vya Gymkhana
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Vodacom Tanzania iliilaza Huawei
magoli 7-1.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian
Farreo (kushoto) akimshuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Huawei Mengdong Gao,(kulia) akimkabidhi jezi nahodha wa timu ya
wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, Ngayama Matongo (katikati) wakati wa
mchezo wa kirafiki baina ya kampuni hizo,uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye
viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, Vodacom Tanzania Plc ilishinda
magoli 7-1
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Ian
Ferrao (kushoto) akisaini mpira wa mfungaji bora wa mchezo wa kirafiki kati ya
Vodacom na Huawei uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana
jijini Dar es Salaam, ambapo Vodacom Tanzania Plc iliiadhibu Huawei magoli
7-0.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huawei Mengdong Gao.
Wachezaji wa timu ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
PLC, wakishangilia ushindi wao baada ya kuiadhibu timu ya wafanyakazi wa
Huawei mabao 7-1 wakati wa mchezo wa kirafiki ulifanyika mwishoni mwa wiki
kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji hatari wa timu ya Vodacom Tanzania
PLC, Ian Ferrao akifunga goli wakati wa mchezo wa kirafiki na Kampuni ya
Huawei uliofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Gymkhana jijini
Dar es Salaam.Vodacom Tanzania PLC iliibuka na ushindi wa magoli 7-1
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian
Farreo (jezi no.9) na nahodha wa timu ya kampuni hiyo, Ngayama Matongo
(wapili kushoto) wakishangilia ushindi dhidi ya timu ya kampuni ya
Huawei wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya kampuni hizo,uliofanyika mwishoni
mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, Vodacom Tanzania Plc
ilishinda magoli 7-1
Mshambuliaji wa timu ya wafanyakazi wa Vodacom
Tanzania PLC, (kushoto) Astrid Mapunda akimtoka beki wa timu ya wafanyakazi wa
Huawei , wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya kampuni hizo, uliofanyika
mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam, Vodacom
Tanzania Plc ilishinda magoli 7-1
Kipindi cha mapumziko
Mfungaji bora wa mechi ya kirafiki kati ya Vodacom
Tanzania PLC na Huawei,Kungwi Michael akionesha kiatu cha dhahabu cha ufungaji
bora na kikombe mara baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo
uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam,
Vodacom Tanzania, ilishinda magoli 7-1.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Huawei Mengdong Gao
(kulia) akimkabidhi mchezaji wa timu ya Vodacom Tanzania PLC,
Kungwi Michael tuzo ya ufungaji bora baada ya mchezo wa kirafiki baina ya
kampuni hizo,uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Gymkhana jijini
Dar es Salaam, Vodacom Tanzania, ilishinda magoli 7-1 . Kushoto ni nahodha wa
timu hiyo, Ngayama Matongo.
SHARE
No comments:
Post a Comment