Mwenyekiti wa klabu ya
Yanga,Yusuf Manji amethibitisha rasmi kuwa ameachia ngazi ya kuiongoza
timu kongwe hiyo na amesema hawezi kuongea zaidi wakati barua
inajionyesha.
Akizungumza na mtandao huu muda
sio mrefu amesema kuwa ameachana na Yanga ili wengine waweze kuiendesha
kwani yeye amefanya mambo makubwa kwa hiyo ambapo alishindwa kufika
mwingine atakuja kuendeleza
Barua yenyewe hii hapa.
SHARE
No comments:
Post a Comment