Baraza la Muungano
wa wafanyikazi nchini Afrika Kusini Cosatu ambalo ni mshirika mkuu wa
chama tawala cha ANC limempiga marufuku rais Jacob Zuma kuhutubia
katika mikutano yake.
Bwana Zuma alizomwa katika mkutano wa wafanyikazi wa mwezi Mei ulioandaliwa na Cosatu mapema mwezi huu.
- Chama cha wafanyikazi chamtaka Zuma kujiuzulu
- Rais Zuma azuiwa kutoa hotuba Afrika Kusini
- Rais Zuma aponea shinikizo za kumtaka ajiuzulu
- Maandamano ya kumtimua rais Zuma mamlakani yaanza
Muungano huo ambao ni mkubwa umesisitiza wito wake kwamba haumuungi mkono tena rais Zuma.
SHARE
No comments:
Post a Comment