Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harriosn Mwakyembe akipokea hundi ya Shillingi Millioni 10 leo Jijini Dar es Salaam kutoka kwa Kampuni ya Multichoice Tanzania iliyowasilishwa kwa niaba yao na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Dkt.Hassan Abbas. (Picha na Shamimu Nyaki WHUSM.)
SHARE
No comments:
Post a Comment