Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akilakiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt Ayoub Rioba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akioneshwa sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.(PICHA ZOTE NA IKULU)
SHARE
No comments:
Post a Comment