TRA

TRA

Wednesday, May 17, 2017

Polisi kuchunguza mlolongo wa mauaji ya wanawake Afrika Kusini

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !




Karabo Mokoena ni mmoja wa wanawake waliouawa
Mmoja wa wanawake waliouawa, Karabo Mokoena
 
JOHANNESBURG, Afrika Kusini
 

POLISI nchini, wanachunguza misururu mauaji ya wanawake kwenye mtaa wa Soweto jijini hapa pamoja na mitaa ya Gauteng ambako nako miili mingine ilikutwa mwishoni mwa wiki.

Miili mitatu tayari imetambuliwa. Baadhi ya watu ambao walitambuliwa ni, Bongeka Phungula na Popi Qwabe ambao walidaiwa kutoweka siku ya Ijumaa na inaripotiwa kuwa pia walibakwa.
Mwili wa Lerato Moloi ulipatikana eneo la Naledi huko Soweto, huku mwili wa nne ukipatikana eneo linalotumika kutupa taka.
Radio mbalimbali hapa nchini, zimepokea simu nyingi kutoka kwa raia wanaoitaka Serikali kuchukua hatua ya kupambana na uhalifu na kufanya jitihada za kuwalinda wanawake na watoto.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger