Sheria
nchini Ufaransa inayopiga marufuku wanamitindo wembamba wasio na afya
imeanza kutekelezwa.Wanamitindo watahitajika kuwa na cheti cha daktari
kuonyesha afya yao kwa misingi ya vipimo vya uzito wao na kimo.Wizara ya
afya inasema kuwa inataka kukabiliana na matatizo ya kutokula na
viwango visivyofikiwa vya urembo.
SHARE
No comments:
Post a Comment