Balozi wa Jamhuri ya Korea
hapa nchini Mhe. Song,Geum-young akizungumza na washiriki wa Tamasha
la Ngoma za asili za nchi hiyo (hawapo pichani) jana Jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa ufunguzi
wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es
Salaam.
Wasanii kutoka Jamhuri ya Korea
wakionesha moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la
Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watazamaji kutoka
Jamhuri ya Korea na Tanzania wakifuatilia ngoma mbalimbali zilizokuwa
zikioneshwa katika Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea
jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa nne kulia waliosimama) akiwa
katika picha ya pamoja na Wasanii wa ngoma za asili kutoka Jamhuri ya
Korea wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya
Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM
SHARE
No comments:
Post a Comment