Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj
Abdallah Bulembo akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Misenyi, Mabalozi, viongozi wa Jumuia
za CCM na watendaji wa Serikali katika Wilaya hiyo mkoani Kagera, jana.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwaili ukumbini
Wajumbe wakiwa ukumbini tayari kumsikiliza Alhaj Bulembo
Katibu
wa Jumuia ya Wazazi Tanzana, Wilaya ya Misenyi Rehema Mtawala
akimkabidhi zawadi maalum Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa
Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo kabla ya kikao kuanza
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah
Bulembo akionyesha zawadi hiyo maalum baada ya kukabidhiwa. Zawadi hiyo
ina maneno ya kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mbunge.
Mwenyekiti wa CCM wa CCM Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera, Haji Seruhu akifungua kikao hicho
Katibu wa CCM Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera Mwajuma Mboha, akieleza maneno ya utangulizi katika kikao hicho
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Misenyi Haji Seruhu, wakati wanapita taarifa
iliyosomwa na Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo
Wajumbe wakihamasika kwenye kikao hicho
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisisitiza jambo wakati wa kikao hicho
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe wakati wa kikao hicho
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akitulia kumsikiliza kwa
makini mshairi Mansur Athan wakati akighani shairi mwishoni mwa kikao
hicho
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipokea zawadi ya Mbuzi
aliyopewa na Jumuia ya Wazazi Wilaya ya Misenyi wakati wa kikao hicho
jana.
Mwenyekiti
wa UVCCM mkoa wa Kagera Yahya Kateme (kushoto) akibadilishana mawazo
na Vijana wa wa CCM nje ya ukumbi baada ya kikao
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Ajhaj Abdallah Bulembo akiendelea kuwasikiliza nje
ya ukumbi badhi ya wadau waliotaka ufafanuzi wa baadhi ya mambo baada
ya kikao hicho. (PICHA NA BASHIR NKOROMO)
SHARE
No comments:
Post a Comment