Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj
Abdallah Bulembo akivalishwa Skavu alipokuwa kwenye mpaka wa Wilaya ya
Bukoba Mjini na Wilaya ya Muleba, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akitangulia kwenda kupanda gari baada ya kuvishwa skafu
Vijana
wa Bodaboda wakiongoza msafara wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj
Abdallah Bulembo kwenda Mjini Muleba ukitokea Bukoba mjini, leo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimsikiliza kwa makini
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Muleba Muhaji Bushako aliyekuwa akimweleza
jambo, wakati wa kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya
Muleba, Wajumbe wa Mabaraza ya Jumuia za CCM na Watendaji wa Serikali,
mjini Muleba, leo
Afisa
kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Tanzania Fadhili Mlami
akisalimia wajumbe baada ya kutambulishwa kweye kikao hicho. Kulia ni
Katibu wa Siasa na Oganaizesheni Makao Makuu ya Jumuia hiyo Daniel Mgaya
Kaimu
Mkurugenzi wa Manispaa ya Muleba mkoani Kagera, Bakari Juma, akitoa
ufafanuzi kuhusu utekelezwaji wa miradi mbalimbali katika Manispaa hiyo,
alipoalikwa kutoa maelezo kwenye kikao hicho, leo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimvisha shati la CCM
Njami Mabula, ambaye yeye na wenzake saba walipokewa na Alhaj Bulembo
baada ya kutangaza kuihama Chadema na kujiunga na CCM, kwenye kikao
hicho mjini Muleba mkoani Kagera, leo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimvisha pama ya CCM
Bushako Njami, ambaye yeye na wenzake saba walipokewa na Alhaj Bulembo
baada ya kutangaza kuihama Chadema na kujiunga na CCM, kwenye kikao
hicho mjini Muleba mkoani Kagera, leo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiwa katika picha ya
pamoja na wanachama wapya aliowapokea baada ya kutangaza kuihama Chadema
na kujiunga na CCM, kwenye kikao hicho mjini Muleba mkoani Kagera, leo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akimpongeza Diwani wa Kata
ya Karamba Felix France, kwa kufanikisha wanachama hao wa Chadema
kuhamia CCM kwenye kikao hicho mjini Muleba mkoani Kagera, leo
Katibu wa CCM mkoa wa Kagera Rahel Ndegereka akifanya utambulisho wakati wa kikao hicho.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Constasia Buhiye akifua rasmi kikao hicho
katibu
wa Jumuia ya Wazazi Tanzania mkoa wa Kagera akimkabidhi kitenge Kwa
Mama Buhiye ili akikabidhi kwa Alhaj Bulembo ikiwa ni zawadi kutoka kwa
Nina Mama wa UWT wa mkoa huo.
Alhaj Bulembo akikifurahia kitenge hicho baada ya kukabidhiwa
Alhaj Bulembo akikabidhiwa pia kitambaa kwa ajili ya kushonea suti
Alhaj Bulembo akifurahia zawadi ya Kahawa aliyozawadiwa
Ukumbi ukilipuka kwa nderemo na vifijo baada ya zawadi hizo kukabidhiwa
Meza Kuu nao wakisimama kuunga mkono nderemo hizo
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na wajumbe katika kikao hicho, mjini Muleba mkoani Kagera, leo
KIKAO CHA BUKOBA VIJIJINIš½
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Bukoba Vijijini Novatus Mkwama, akizungumza wakati wa
kufungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya hiyo, Wajumbe wa
Mabaraza ya Jumuia za CCM, Mabalozi na Watendaji wa Serikali, kikao
kilichofanyika Bukoba mjini leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Alhaj Abdallah Bulembo na kulia ni Katibu wa CCM Mstaafu mkoa wa Kagera
Faustine Kamaleki na Katibu wa CCM mkoa huo Rahel Ndegereka.
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Bukoba Vijijini Novatus Mkwama, akizungumza wakati wa
kufungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya hiyo, Wajumbe wa
Mabaraza ya Jumuia za CCM, Mabalozi na Watendaji wa Serikali, kikao
kilichofanyika Bukoba mjini leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Alhaj Abdallah Bulembo na kulia ni Katibu wa CCM mkoa huo Rahel
Ndegereka.
Kikosi kazi cha mambo ya habari kikiwa kazini nje ya ukumbi wakati wa mkutano huo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza wakati wa kikao
hicho. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Costansia Bihiye na
kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bukoba Vijijini Novatus Mkwama.
Sekretarieti ya CCM Bukoba Vijijini ikiwa kazini wakati wa kikao hicho
Wajumbe wakimsikiliza kwa makini Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo wakati akizungumza nao kwenye kikao hicho
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza wakati wa kikao hicho
Wajumbe wakimsikliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwa akizungumza wakati wa kikao hicho
Maofisa kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Tanzania, wakiwa kwenye kikao hicho
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akisisitiza jambo wakati
akizungumza wakati wa kikao hicho. PICHA: BASHIR NKOROMO
SHARE
No comments:
Post a Comment