TRA

TRA

Thursday, June 15, 2017

Lionel Messi na Fabregas waki-enjoy beach na familia zao

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Ni misimu mitatu sasa imepita toka Lionel Messi na Cesc Fabregas kutocheza katika timu moja baada ya Fabregas kurudi London kuitumikia Chelsea, licha ya kutocheza timu moja kwa misimu mitatu lakini urafiki wa Cesc Fabregas na Lionel Messi haujafa.

Lionel Messi na Cesc Fabregas bado wameendelea kuwa karibu na wamenaswa katika picha wakiwa na familia zao wana-enjoy katika fukwe za Hispania kipindi hiki cha mapumziko ya Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya.

Fabregas na Messi wametumia likizo zao pamoja katika kisiwa cha Balaeric Hispania, huku Lionel Messi akiwa na mama watoto wake Antonella Roccuzz na mwanae Thiago wakati Fabregas pia alikuwa na mpenzi wake Daniella Semaan pamoja na mtoto wake wa kike Lia.



Fabregas na Messi enzi hizo wakiwa FC Barcelona

Author:

«
Next
Timu anayocheza Mtanzania Ujerumani imetwaa Ubingwa
»
Previous
U.N yawatuhumu wanajeshi wa Burundi

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger