
Timu ya Mgeta imetwaa taji hilo baada ya kufanikiwa kuifunga TSG Wustenrot kwa magoli 2-0, ushindi huo sasa unaipa nafasi nyingine timu ya Sport Freunde Lauffen ya kushiriki Kombe la Ujerumani (Germany Cup).

Kama hufahamu Germany Cup ni Kombe kama la FA ambapo litashirikisha timu hadi za Bundesliga na mfumo utakaotumika katika hatua hiyo ni knock-out kwa maana ya mtoano, kama watafanya vizuri na kufikia hatua za mbali wanaweza kupata nafasi ya kucheza na timu za Bundelsiga,


SHARE








No comments:
Post a Comment