TRA

TRA

Wednesday, June 14, 2017

Mwanafunzi huyu kwa urefu wee acha tu

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
     Karan Singh

MEERUT, INDIA

Huwezi kuamini lakini ndivyo ilivyo. Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 8 na urefu wa futi 6 ameingia kwenye kitabu cha kumbukumbu (Guinness Book Record) kwa kile kinachoelezwa ndiye mrefu zaidi duniani.

Karan Singh kutoka Meerut nchini India ana historia nyingine kwa maana kuwa alizawa akiwa na uzito mkubwa pamoja na urefu pia. Urefu wake umekuwa gumzo kutoka kwa wanafunzi wenzake.

Urefu huo pia ulimshangaza mzazi wake, Dad Sanjay (41) huku akijipa moyo utamweka kwenye rekodi ya kipekee.

“Wakati Karan anazaliwa alikuwa na uzito wa kilo 7.8 na urefu wa sentimeta 63 kwa urefu. Hii ilimfanya aingie kwenye kumbukumbu wa kitabu cha rekodi.

"Hivyo alipofikisha miaka 5 aliweka rekodi ya kuwa na urefu mkubwa na sasa ana miaka 8. Kimsingi ameingia ameingia kwenye Guinness Records," alisema Sanjay.








Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger