TRA

TRA

Wednesday, June 14, 2017

Nyumba aliyonunua Rais mstaafu Obama

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Rais wa Marekani aliyemaliza muda wake Barack Obama ameamua  kuendelea kuishi Washington DC na familia yake hadi binti yake mdogo aitwae Sasha (15) atapomaliza masomo yake.
Nyumba hii yenye vyumba tisa ipo katika mtaa wa kifahari wa Kalorama Washington DC Marekani na imeripotiwa walikua wakiishi humo kwa siku nyingi kama Wapangaji lakini sasa wameamua kuinunua.
Taarifa ya BBC inasema Msemaji wa Obama amenukuliwa akisema Famili ya Obama itaendelea kuwepo Washington DC kwa kama miaka miwili na nusu hivyo nyumba ina umuhimu kwao.

















Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger