TRA

TRA

Tuesday, June 13, 2017

Ronaldo kushtakiwa kwa kukwepa kodi

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Mamlaka nchini Uhispania zitamfungulia mashtaka nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, akishutumiwa kwa kukwepa kulipa kodi kiasi cha doa za kimarekani milioni 16.5.

Waendesha mashtaka wamedai kuwa kodi ni kuanzia mwaka 2011 mpaka 2014 na inahusu mapato ya nje na uwanja na haki za picha zake.

 Christiano Ronaldo akicheza fainali za Champion League 

Mwezi Desemba, nyaraka zilizovuja zilieleza kuwa Cristiano Ronaldo amekwepa kodi kutokana na kipato chake kuwekwa kuwekwa kwenye akaunti za nje ya Hispania.

Ronaldo amekana shutuma hizo. Na msemaji wa wakala wa mchezaji huyo alisema mwezi uliopita kuwa mchezaji huyo hakuwa na chochote cha kuficha

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger